Design

Misingi na Sheria za Design Bora – Adobe Illustrator Course

Mafunzo ya Adobe Illustrator Toleo la pili Haya ni mafunzo ya Adobe Illustartor ambayo ni muendelezo wa toleo la kwanza, Toleo hili limeelezea mambo mapya ambayo Ukiwa kama designer unaetumia Adobe Illustrator Unatakiwa uyafahamu. Kozi hii ime sheheni video nyingi ambazo zimeakisi Katika Maada zifuatazo 1. Introduction 2. Types of Logos 3. Logo Design techniques […]

Misingi na Sheria za Design Bora – Adobe Illustrator Course Read More »

Hatua 7 za Logo Design – Kutoka wazo mpaka uwasilishaji

Logo design ni ujuzi muhimu sana Graphics designer kuwa nao. Changamoto kubwa ni kujua tools, na njia sahihi za kuhakikisha una design logo(nembo) ya kipekee pasipo kusahau ubora na urahisi katika kutambulika na kukumbukwa. Jiunge  katika kozi hizi zitakazo kufundisha  Hatua 7 za Logo Design. Kozi hii itakusaidia kuvunja imani potofu kuhusu Logo Design  na

Hatua 7 za Logo Design – Kutoka wazo mpaka uwasilishaji Read More »

Shopping Cart