- KOZI NILIZOPO NI 15+
Jukwaa la ujuzi
kwa watu wabunifu.
Jifunze ujuzi wa kidijitali kwa Kiswahili kupitia kozi za vitendo. Kuza ubunifu wako katika design, video, AI na teknolojia, kwa muda wako.
Kwa Kiswahili • Kozi za vitendo • Kwa muda wako
Kozi Zetu Maarufu Zaidi
Jifunze na upate ujuzi kupitia kozi bora zaidi mtandaoni kwa kiswahili
Kwa nini uchague Rich Academy?
Jifunze kwa Kiswahili, fanya mazoezi, na kuza ujuzi wako wa kidijitali.Â
Jifunze kwa Kiswahili
Elewa zana na mbinu za kidijitali kupitia maelezo ya Kiswahili na mifano inayokusaidia kufuata kila hatua.
Jumuia ya Wabunifu
Kuwa sehemu ya watu wenye shauku ya design, video, AI na teknolojia. Jifunze, pata msukumo, na endelea kukuza ubunifu wako.
Jifunze kwa Vitendo
Fuata mifano ya matumizi halisi ya zana za ubunifu na tumia unachojifunza kutengeneza kazi zako.
Gundua Kozi Zetu
Jifunze na upate ujuzi kupitia kozi bora zaidi mtandaoni kwa kiswahili
Anza kujifunza kwa hatua tatu
Chagua kozi inayokufaa, jiandikishe, na anza kukuza ujuzi wako wa kidijitali kwa Kiswahili.
1. Chagua kozi
Gundua kozi zetu na uchague ujuzi unaotaka kujifunza. Tumia makundi ya kozi kupata inayolingana na malengo yako.
2. Jiandikishe kwenye kozi
Fungua akaunti au ingia kwenye akaunti yako, kisha fuata hatua za kujiunga na kozi uliyochagua.
3. Anza kujifunza
Fungua masomo kupitia akaunti yako na ujifunze kwa muda wako. Fuata mafunzo hatua kwa hatua na fanyia kazi unachojifunza.
Wanafunzi Wetu Wanasemaje
Sikia maoni ya wanafunzi waliojifunza ujuzi wa kidijitali na kukuza ubunifu wao kupitia Rich Academy.
“Kozi za Rich Academy zimenisaidia sana kuelewa Adobe Photoshop na Premiere Pro kwa vitendo. Maelezo ya Kiswahili ni rahisi kufuata na sasa ninatengeneza kazi za wateja kwa kujiamini.”
Amina HassanGraphic Designer · Dar es Salaam
“Nilianza bila uzoefu wowote wa 3D na AI, lakini kupitia masomo ya hatua kwa hatua nimeweza kuunda video na mockup za kisasa. Jumuia ya wabunifu pia inanipa motisha kila siku.”
Kelvin MwangiVideo & AI Creator · Arusha
Makala Zetu
Soma makala na vidokezo vya kuboresha ujuzi wako wa ubunifu, teknolojia, na biashara ya kidijitali.



