About Course
KeyShot imeundwa ili kurahisisha Rendering na uhuishaji wa 3D. Inakuruhusu kutumia material na mwanga haraka na hutoa mwonekano sahihi zaidi wa material na mwangaza halisi, yote katika kiolesura chenye nguvu ambacho hutoa uwezo wa hali ya juu na uwezo wa kuona mabadiliko yako yote katika wakati halisi (Real Time).
Jifunze jinsi ya kuunda vionyeshi vya picha halisi ya kitu chochote cha 3D kwa kutumia KeyShot. Kufikia mwisho wa kozi hii, utajua jinsi ya kuunda vitu kutoka kwa mawazo yako na kuvipa mwonekano wa kweli kwa kutumia mwanga, materials na mbinu za ziada.
Course Content
01: INTRODUCTION
-
08:49
-
Project zinazoweza fanyika kwa Keyshot
02:51 -
Ushauri kuhusu 3D Product Rendering
11:42
