Contact Us

We’re on a mission to deliver engaging, curated courses at a reasonable price.

Our office

Mbezi Beach,  Near Mbezi Shule Bus stop,
Dar es Salaam, Tanzania

Our contact

Send a Message

Contact Form MAIN

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Rich academy ipo kwa ajiri ya Beginner na Intermediate (Waliopo level ya kati) lakini pia hata wale ambao ni pro kuna vitu vinawasumbua nao watafaidika. Tunafahamu kuna youtube ambayo unajifunza hasa mbinu na madokezo mafupi mafupi. Ila kama unataka kujua vitu kwa undani zaidi basi hap ani sehemu sahihi kujifunza

Mafunzo yetu ni kwa njia ya videos. Zipo za ku stream hapa hapa ambazo zimefundisha hatua kwa hatua kila kitu. Na kuna kozi za ku download ambazo ni zile kozi fupi fupi.

Ukisha lipia kozi yako LOGIN katika account yako kwa kubonyeza ‘My Account”. ama unaweza wasiliana nasi kwa WhatsApp tukupe msaada wa haraka zaidi.

Kwasababu mafunzo ni Online na ni self learning inategemeana zaidi na muda wako, Wepesi wako wa kuelewa, Ukubwa wa kozi husika. Lakini kwa makadirio mwezi mmoj hadi mwaka mmoja

Kwa zaidi ya miaka 7 tumekuwa tukifundisha na kupata shuhuda za mafanikio. Kwa sababu tumekuwa tukifundisha kwa lugha nyepesi na kwa vitendo. Unaweza ukathibitisha hili kwa kuangalia kozi zetu za bure. Kuona namna tunavyofundisha

Shopping Cart

Download Kompa Zouk Production Kit
Mini Pack for FREE!

If you like it, come back to purchase the full pack which contains loops, midi file, kicks, rims, snare, tombs, etc.