Design

Design Simple 3D Mockup kwa kutumia Adobe Dimension

Adobe Dimension ni programu ya Design na rendering 3D. Adobe Dimension hurahisisha sana kuunda ama kujenga brand visualizations, illustrations, product mockups, na kazi nyingine za kibunifu. Design Simple 3D Mockup kwa kutumia Adobe Dimension ni mafunzo kwa lugha ya kiswahili ambapo utajifunza kuitumia programu hii kutengeneza au ku design Vitu vifuatavyo 3Ds Mockups Photo-realistic 3D

Design Simple 3D Mockup kwa kutumia Adobe Dimension Read More »

Professional Video Editing kwa kutumia Adobe Premiere Pro

Kozi hii  imelenga kuwajengea ujuzi na maarifa wanafunzi wanaotaka kuwa wahariri(Editors) wa video na wataalamu katika matumizi ya Adobe Premiere Pro. Kutoka basics hadi advanced levels, washiriki watapata uelewa wa kina kuhusu programu hii ya uhariri wa video ambayo ni kiwango cha industry hii. Kupitia moduli za Modules zilizopo, wanafunzi watapata ufahamu mzuri wa Muundo

Professional Video Editing kwa kutumia Adobe Premiere Pro Read More »

Jifunze Motion Graphics – Mafunzo ya Adobe After Effects

Adobe After effects ni Software yenye nguvu sana katika kutengenezea Motion Graphics. Kampuni na Motion designers hupenda kuitumia kutokana na kuwa na tools zinazompa mtu uhuru kuwa mbunifu. Changamoto huwa ni pale usipojua tools jinsi zinavyofanya kazi. Ndiyo maana nakukaribisha ujifunze Nami Adobe After effects ( Hii ni Advanced) kozi.  Mwisho kabisa tutafanya real-life Projects

Jifunze Motion Graphics – Mafunzo ya Adobe After Effects Read More »

Design Google Search Logo Animation kwa kutumia Adobe After Effects

Katika Kozi hii fupi utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya ku Design Google Search  Logo Animation  kwa kutumia ya Adobe After Effects. Utajifunza vitu vifuatavyo Ku design elements ndani ya photoshop Ku animates elements zote ndani ya Adobe After effects Kuweka sound effects ili kuipa uhai Animation yetu Kumbuka ili uweze kujifunza nami inakubidi kwanza uwe na

Design Google Search Logo Animation kwa kutumia Adobe After Effects Read More »

Shopping Cart