5.00
(4 Ratings)

Design Simple 3D Mockup kwa kutumia Adobe Dimension

Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

About Course

Adobe Dimension ni programu ya Design na rendering 3D. Adobe Dimension hurahisisha sana kuunda ama kujenga brand visualizations, illustrations, product mockups, na kazi nyingine za kibunifu.

Design Simple 3D Mockup kwa kutumia Adobe Dimension ni mafunzo kwa lugha ya kiswahili ambapo utajifunza kuitumia programu hii kutengeneza au ku design Vitu vifuatavyo 3Ds Mockups Photo-realistic 3D images Pia itakuwezesha kujifunza mbinu mbali mbali za Product visualization

What Will You Learn?

  • Fahamu kuhusu Adobe Dimension
  • Matumizi ya Adobe Dimension
  • Lighting, Materials, Rendering
  • Post Production ndani ya Photoshop
  • Bonus Lessons

Course Content

01: BASICS
Ifahamu Adobe Dimension, jinsi inavyotumika kubuni na kudesign Simple 3D mockup

  • Ifahamu Adobe Dimention
    03:33
  • Jinsi ya Ku Import 3D Models
    01:16
  • Jinsi ya kuweka lebal juu ya Model yako
    05:40
  • Jinsi ya ku adjust Material
    05:59
  • Jinsi ya Kudesign Background
    05:22
  • Jinsi ya kuweka Picha ya Bacground
    03:28
  • Jinsi ya kuweka Blur Effects kama ya camera
    03:48
  • Mambo ya kuzingatia kuhusu light
    02:27
  • Rendering
    06:18
  • Post Production ndani ya Adobe Photoshop
    03:32

02: BONUS

03: PERSONAL PROJECT
Tutumie mbinu zote tulizojifunza na tu design kitu kinachoeleweka na kinachoweza uzika

Pata Cheti

Ongeza cheti hiki kwenye CV/Portfolio yako ili kuonyesha ujuzi wako na kuongeza nafasi yako ya kutambulika

selected template

Student Ratings & Reviews

5.0
Total 4 Ratings
5
8 Ratings
4
0 Rating
3
0 Rating
2
0 Rating
1
0 Rating
Alex Alfred
1 year ago
Kozi iko vzri sana nimeielewa vitu vingi sana katika hii kozi Kwa ujumla. Na niaamini kupitia shulee nitafanya vitu vzri na vyenye kuvitia Kwa muonekano mzr
SH
1 year ago
Kozi iko vizuri sana , kwa masuala ya ku Design 3D Mockup
Kwakweli Nina Kila sababu ya kukupa pongezi saana, na sijutii kufuatilia masomo Yako umenitoa gizani Nimenza kufuatilia tangu 2020 Masomo Yako yapo vizuri Kwa mtililiki mzuri saana 🙏
FS
1 year ago
Safi Santa
Shopping Cart

Want to receive push notifications for all major on-site activities?