Professional Video Editing kwa kutumia Adobe Premiere Pro

Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

About Course

Kozi hii  imelenga kuwajengea ujuzi na maarifa wanafunzi wanaotaka kuwa wahariri(Editors) wa video na wataalamu katika matumizi ya Adobe Premiere Pro. Kutoka basics hadi advanced levels, washiriki watapata uelewa wa kina kuhusu programu hii ya uhariri wa video ambayo ni kiwango cha industry hii.

Kupitia moduli za Modules zilizopo, wanafunzi watapata ufahamu mzuri wa Muundo na mpangilio wa Premiere Pro, Tools, na Effects. Utajifunza jinsi ya Kuingiza na ku manage videos clips ama footage, kutumia mbinu za uhariri za basics na advanced, kuboresha ubora wa video na sauti, kutumia effects na transformation, titles, subtitle, transcripts, shapes nk.

Utajifunza advanced techniques kama vile uhariri wa kamera nyingi, upangaji wa muda, Color corect na Color Grading,  na Audio Editing. Utapata fursa ya kutumia Project files kufanya mazoezi, kupewa masahihisho na ushauri kutoka kwa mwalimu ili upate kujiamini na kuboresha ufahamu wako.

Baada ya kumaliza kozi hii ya mafunzo mtandaoni, washiriki watakuwa na ujuzi wa kutosha wa kuhariri video za kiwango cha kitaalamu, iwe ni kwa ajili ya Film, Music Videos, Documentary, Commercial Ads, YouTube Videos nk.

Show More

What Will You Learn?

  • Introduction
  • Basic Editing
  • Color Correction na Grading
  • Advanced Editing
  • Advanced Features

Course Content

01: INTRODUCTION

  • Adobe Premiere Pro Interface
    15:26
  • Create New Project
    14:42
  • Sequence na settings zake
    09:29
  • Create Proxies
    09:26
  • Effects Control
    06:04

02: BASIC EDITING

03: COLOR NA LIGHTS ADJUSTMENT

04: ADVANCED EDITING

05: EFFECTS & GRAPHICS CONTROL

06: ADVANCED FEATURES

07 FOR CONTENT CREATORS

08: SETTINGS & OPTIMIZATION

Pata Cheti

Ongeza cheti hiki kwenye CV/Portfolio yako ili kuonyesha ujuzi wako na kuongeza nafasi yako ya kutambulika

selected template

Student Ratings & Reviews

No Review Yet
No Review Yet
Shopping Cart

Want to receive push notifications for all major on-site activities?