Jifunze Motion Graphics – Mafunzo ya Adobe After Effects
About Course
Adobe After effects ni Software yenye nguvu sana katika kutengenezea Motion Graphics. Kampuni na Motion designers hupenda kuitumia kutokana na kuwa na tools zinazompa mtu uhuru kuwa mbunifu. Changamoto huwa ni pale usipojua tools jinsi zinavyofanya kazi. Ndiyo maana nakukaribisha ujifunze Nami Adobe After effects ( Hii ni Advanced) kozi.
Mwisho kabisa tutafanya real-life Projects kwa pamoja. Pia kuna Mazoezi (Assignment) kila baada ya topic, na kila mwanafunzi atafanya na kusaidiwa atakapo kwama. Hutojifunza peke yako kwani baada ya kununua utaungwa katika Private Group Online ambapo wewe na wanafunzi wenzio mtakuwa mkishauriana na kupewa muongozo kila siku.
Course Content
THE BASICS
-
Setting Muhimu kabla ya kuanza Project yako
07:55 -
Fahamu zaidi kuhsu Workspace(Sehemu ya Kufanyia kazi)
08:02 -
Layer Parameters (Vinavyounda leyer)
06:04 -
Zifahamu aina za layer za Adobe After effects
11:22 -
Jinsi ya kuset Keyframe (Ku animate)
07:06 -
Archor Point na Matumizi yake
06:04 -
Rendering
02:15 -
Zoezi la kufanya
02:34 -
Zoezi la kufanya
ANIMATIONS
ANCHOR POINTS
FOLLOW MOTION & FOCUS
SETTLE & OVERSHOOT
EYES CONTROL
COMMERCIAL AD
3D MOTION
BONUS
Student Ratings & Reviews
Amazing Course. I recommend