Jinsi ya Kutengeneza Katuni za 3D kwa Kutumia AI
Jifunze jinsi ya kutengeneza katuni za 3D kwa kutumia AI hatua kwa hatua. Fahamu tools na tips na namna ya kuchuma mapato kupitia video hizi

Unapochagua programu ya kuanzia kujifunza animation, jina la Cinema 4D na Blender lazima litakuja. Lakini ni ipi inakufaa zaidi?