Mafunzo ya Maxon Cinema 4D – Essential 3D Graphics

By richstartz Uncategorized
Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

About Course

Unatamani sana kujifunza masuala ya 3D ?, Basi mafunzo haya yanakuhusu sana. Hatua kwa hatu kuanzia principles za 3D, Modeling, Scene framing, Texturing, Lighting nk.

Package ya Mafunzo ya Cinema 4D ina 08+ Masaa ya Mafunzo 53 Videos 7 Chapters 10+ Scene files nk.

What Will You Learn?

  • Cinema 4D nini
  • Matumizi ya Cinema 4D
  • 3D Modeling
  • Lighting & Texturing
  • Rendering & Compositions
  • Post Production & Bonus

Course Content

01: INTRODUCTION
Katika Introduction tutajifunza mambo ya msingi kuya fajhamu katika ulimwengu wa 3D Graphics

  • Jinsi ya kutumia Assert na Project Files
    01:27
  • Kazi za cinema 4d
    01:03
  • Computer inayohitajika kujifunzia
    02:39
  • Nini Tofauti ya 2D na 3D
    01:45
  • Mwenendo wa kazi za 3d
    01:48
  • Hatua za kazi za 3D
    03:23

02: BASICS

03: MODELING
Sehemu hii utajifunza jinsi ya kufanya modeling Simple na Adanced Modeling

04: PHOTO STUDIO RENDER
Sehemu hii utajifunza jinsi ya ku fanya photo studio render ya 3d kwa kufuata misingi na hatua zote tulizojifunza sehemu zilizopita

05: PHOTO REALISTIC RENDER
Sehemu hii utajifunza jinsi ya ku fanya Photo Realistic render ya 3d kwa kufuata misingi na hatua zote tulizojifunza sehemu zilizopita

06. CINEMA 4D DYNAMIC
Katika sehemu hii tutajifunza mambo ya physics na mambo ya dynamics

07: ANIMATIONS

08: PRODUCT VISUALIZATION
Sehemu hii tutajifunza hatua chache katika product visualization kwa kutumia Conema 4D

09: BONUS

Student Ratings & Reviews

No Review Yet
No Review Yet
Shopping Cart

Want to receive push notifications for all major on-site activities?