4.50
(2 Ratings)

Jifunze Motion Graphics – Mafunzo ya Adobe After Effects

Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

About Course

Adobe After effects ni Software yenye nguvu sana katika kutengenezea Motion Graphics. Kampuni na Motion designers hupenda kuitumia kutokana na kuwa na tools zinazompa mtu uhuru kuwa mbunifu. Changamoto huwa ni pale usipojua tools jinsi zinavyofanya kazi. Ndiyo maana nakukaribisha ujifunze Nami Adobe After effects ( Hii ni Advanced) kozi. 

Mwisho kabisa tutafanya real-life Projects kwa pamoja. Pia kuna Mazoezi (Assignment) kila baada ya topic, na kila mwanafunzi atafanya na kusaidiwa atakapo kwama. Hutojifunza peke yako kwani baada ya kununua utaungwa katika Private Group Online ambapo wewe na wanafunzi wenzio mtakuwa mkishauriana na kupewa muongozo kila siku.

What Will You Learn?

  • Ku create 2D na 3D layers
  • Ku animate 2D na 3D layers
  • Principles of Motion Design
  • Keyframe na Expressions Animation
  • Ku create Advanced 3D kwa kutumia E3D
  • Mask, Matte na Green screen
  • Rendering Settings

Course Content

THE BASICS

  • Setting Muhimu kabla ya kuanza Project yako
    07:55
  • Fahamu zaidi kuhsu Workspace(Sehemu ya Kufanyia kazi)
    08:02
  • Layer Parameters (Vinavyounda leyer)
    06:04
  • Zifahamu aina za layer za Adobe After effects
    11:22
  • Jinsi ya kuset Keyframe (Ku animate)
    07:06
  • Archor Point na Matumizi yake
    06:04
  • Rendering
    02:15
  • Zoezi la kufanya
    02:34
  • Zoezi la kufanya

ANIMATIONS

ANCHOR POINTS

FOLLOW MOTION & FOCUS

SETTLE & OVERSHOOT

EYES CONTROL

COMMERCIAL AD

3D MOTION

BONUS

Student Ratings & Reviews

4.5
Total 2 Ratings
5
1 Rating
4
1 Rating
3
0 Rating
2
0 Rating
1
0 Rating
Amazing Course. I recommend
2 years ago
At vero eos et accusamus et iusto odio dignissimos ducimus qui blanditiis praesentium voluptatum deleniti atque corrupti quos dolores et quas molestias excepturi sint.
Shopping Cart

Want to receive push notifications for all major on-site activities?