5.00
(1 Rating)

Mafunzo ya FL Studio na Utengenezaji wa Beats

By richstartz Categories: Audio & Music
Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

About Course

Jifunze kutumia mojawapo ya programu yenye nguvu na nyingi katika tasnia ya utengenezaji wa muziki ukitumia Computer.

 

Katika kozi hii ya FL Studio na Utengenezaji wa Midundo (Beats), utajifunza jinsi ya kutumia programu ya Ableton Live kwa uundaji wa muziki na, kwa ujuzi wa kimsingi, utaweza kurekodi mawazo yako ya muziki na kufikia matokeo ya kitaaluma.

Ukiwa na mtayarishaji wa muziki Richstar kama mwongozo wako, utaanza mfululizo huu wa kozi kujua muonekano wa fl studio na matumizi yake, jinsi ya kuingiza plugin na sampuli (Samples), Hatua kwa hatua jinsi ya kuanzisha project mpya.

Pia utajifunza kuchunguza ulimwengu wa ala(Instruments) kama vile Paino Roll na kibodi(Keyboard), Jinsi ya kutumia Step sequencer katika kupiga percutions kama kick, Snares, Claps Hi hat n.k. Pia utajifunza quantization ni nini na jinsi ya kuitumia. Kisha utaweka kila kitu katika vitendo kwa kuunda project yako ya kwanza.

Mwisho kabisa utajifunza kuunganisha mbinu zote kutengeneza aina tofauti tofauti za muziki kama vile Zouk, Bongo fleva, Hiphop, Reggae bila kusahau kipengele cha Mixing na Mastering ya mdundo wako (Instrumental). Kinachojitajika ni kuwa na Computer (Desktop/Laptop), Programu ya Fl Studio na akili yenye utayari.

Show More

What Will You Learn?

  • Sehemu muhimu za Fl studio
  • Install Plugin na Samples
  • Kutumia Piano Roll na Step sequencer
  • Kutengeneza Melody
  • Kupiga percautions
  • Mixing na Mastering ya

Course Content

01: BASICS

  • Yanayohusu Mafunzo haya
    02:40
  • Jinsi ya kutumbukiza, install Sample
    02:48
  • Jinsi ya Ku Install Plugin
    04:44
  • Kutatua tatizo la Plugin kutoonekana
    01:44
  • Jinsi ya Kuzi link sample
    02:14
  • Sehemu muhimu za FL Studio
    05:06
  • Project setting
    03:38
  • Temple Setting
    03:48
  • Jinsi ya Kutumia SPEP Sequencer.
    07:50
  • Jinsi ya kutumia Mentronome
    04:38
  • Jinsi ya kupanga Percausion za Zouck
    09:37
  • Jinsi ya kupanga Percausion za RnB
    06:32
  • Jinsi ya kupanga Percausion za Hiphop Jazz
    03:40
  • Jinsi ya kupanga Percausion za HiphopTrap na Crank
    08:06
  • Jinsi ya kupanga Percausion za Reggae
    06:05
  • Jinsi ya kupanga Percausion za Afro Pop
    05:40
  • Maana ya Key, chords na Octave
    06:06
  • Chord Kuu nne Muhimu na zinavyopangwa
    04:07
  • Chord Progretional
    05:06
  • Chords Mixing
    03:14
  • insi ya Kuzivunja Sheria za Chords Kupata matokeo mazuri zaidi
    08:34
  • Kupanga chords kutokana na Melody leads
    07:30
  • Kupata Chords Kutoka katika Solo Melody
    07:26
  • Minor Chord na Transpose
    07:48
  • Ku transopse ndani ya Keyboard
    02:51
  • Namna ya kuzijaza Chords
    04:45
  • Kuzifanya Chords zilie bila kutoa kelele
    05:01
  • Kuzifanya Solo Melody zilie vizuri
    10:15
  • Chords Leads za Miziki Tofauti tofauti
    19:50
  • Hitimisho La chords
    06:18
  • Fahamu fomula na mtiririko mzuri wa Beat
    07:40
  • Jinsi Fomular na Mtiririko unavyotumika
    20:56
  • Jinsi ya ku save na ku export
    02:02
  • Njia ilio advance zaidi ya upigaji Percausion
    15:49
  • Fahamu aina za Plugin
    04:49
  • Jinsi ya Ku record NOTE na Score
    08:44
  • Ifahamu piano roll editor
    09:04
  • Vifahamu vipengele vya Playlist
    05:20
  • Automation ni nini
    04:47
  • Jinsi ya kutengeneza Automation ndani ya Playlist
    11:44

02: ZOUK BEATS
Jifunze jinsi ya kutengeneza beats za zouk.

03: REGGAE BEATS
Jifunze jinsi ya kutengeneza beats za Reggae.

04: HIP HOP BEAT

Student Ratings & Reviews

No Review Yet
No Review Yet
Shopping Cart

Want to receive push notifications for all major on-site activities?