Design Company Profile – Adobe InDesign Course

Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

About Course

Katika Kozi hii ya Adobe InDesign utajifunza jinsi ya ku design Company Profile hatua kwa hatua kuanzia ku design front page, Table of Contents, inside page mpaka back page. Jiunge sasa Ujifunze zaidi na uongeze skills katika Adobe InDesign

Utajifunza ku design ukurasa wa mbele na nyuma. Tutaangazia mambo ya msingi ya kuzingatia ili kuhakikisha tunapata cover nzuri itakayovutia pasipo kupoteza maana au lengo pamoja na kwenda sambamba na theme ya Brand husika

Kila hatua imeelezewa na kuhakikisha kila mwanafunzi anaelewa somo na kupata maarifa yatakayo muwezesha ku design project yoyote ya company profile ama magazine, journal, brochure nk.Na uzuri wa kozi hii imeelezewa kwa kiswahili hatua kwa hatua, na kila hatua ni rahisi kuifuatisha kwa hio hakuna atakaye achwa nyuma

Show More

What Will You Learn?

  • Ku Design Company profile
  • Uelewa wa Print au Interactive PDF
  • Kuandaa Design system ndani ya InDesign
  • Project Presentation

Course Content

01: INTRODUCTION

  • Kusanya Files na Taarifa muhimu
    05:51

DESIGN & DEVELOPMENT

DELIVERING & PRESENTATION

Closing Remarks

Student Ratings & Reviews

No Review Yet
No Review Yet
Shopping Cart

Want to receive push notifications for all major on-site activities?