Basic Camera Use na Jinsi ya kutengeneza Video Contents
About Course
Fahamu Basics zote za camera na namna unavyoweza kuitumia katika kutengeneza Video contents za matumizi mbalimbali
Katika kozi hii utajifunza mambo muhimu ya msingi kuhusu camera na matumizi yake katika kutengeneza Video contents. Utajifunza vifaa muhimu, techinicals zote za kufahamu ili uweze ku shoot videos za hasa zitakazotumika katika digital platforms hasa mitandao ya kijamii.
Kwenye kozi hii zana kuu ni kukufundisha settings za camera, shootings basics na advanced techniques, bila kusahau lighting, Audio na kukutoa kutoka level moja ya beginner mpaka hatua ya kutengeneza na ku produce Contents zinazoweza kutazamika na kufikisha ujumbe kwa uliowalenga.
Kozi hii inalenga wapiga picha, videographer, wasimamizi wa jumuiya, wasanii na yeyote anayetaka kuunda video za kuvutia na za kitaalamu kwa matumizi tofauti tofauti hasa ya mitandao yao ya kijamii. Haijalishi ikiwa wewe umekwisha anza au ikiwa unaanza njia yako katika nyanja hii, kozi hii itakupa ujuzi unaohitajika ili kushangaza watu na kutoa maudhui ambayo yanahusiana na hadhira yako.
Course Content
01: INTRODUCTION
-
02:56
-
Sifa kuu za camera bora ya kuanza nayo
05:15 -
Mapendekezo ya vifaa vya kuanza navyo
15:28 -
Jinsi ya kuchagua Lens sahihi
09:06