Blender 3D: kutoka Beginner hadi Advance
About Course
Kuongeza ujuzi wa 3D katika kazi zako za Graphics huwa sio jambo rahisi. Ndiyo sababu nimekuletea Tutorials zitakazokufunza na kukuonyesha nguvu iliopo katika Software ya Blender tunapofanya kazi za 3D, iwe visual ama Motion design. Uwe beginner ama unayefahamu ila unataka kuongeza ujuzi basi hii ni sahihi kwako. Kozi hii iliojitosheleza itakufundisha kila kitu unachopaswa kufahamu ili uwe mjuzi katika 3D.
Course Content
1: INTRODUCTION
-
Download na Install Blender 3D Software
01:15 -
Navigation Key ukitumia Blender
04:45 -
Create na ku Save Blender Project
03:01 -
Settings na Addons za Blender
03:55 -
Rotate, Scale na Transform tools
06:15 -
Shortcut keys Muhimu kuzijua
10:51 -
Zifahamu Modifiers na Matumizi yake
13:31
2: MODELING
3: TEXTURING na MATERIAL
4: CAMERA na RENDERING
5: CARD PROJECT
6: PEN PROJECT
7: EVENT BOOTH
8: BONUS
Pata Cheti
Ongeza cheti hiki kwenye CV/Portfolio yako ili kuonyesha ujuzi wako na kuongeza nafasi yako ya kutambulika
Student Ratings & Reviews
No Review Yet