Video Content Creation kwa Kutumia AI
About Course
Zamani, ili utengeneze video yenye ubora wa hali ya juu, ulihitaji kamera kubwa, taa (lights), waigizaji, na bajeti kubwa. Leo, mambo yamebadilika. Unahitaji kompyuta au simu janja (smartphone) na internet tu.
Kwenye kozi hii ya Video Content creation kwa kutumia AI, nitakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kutumia Akili Bandia (AI) kutengeneza video zinazoonekana “professional”. Haijalishi kama unataka kutengeneza tangazo la biashara linalouza, video fupi za TikTok na Instagram, au video za kusimulia hadithi (storytelling).
Hii si kozi ya nadharia. Ni kozi ya vitendo. Tutatumia tools za kisasa kama Kling AI, Luma, Midjourney, na CapCut kubadilisha mawazo yako kuwa video kamili.
Utajifunza Nini?
Ndani ya kozi hii, utapata ujuzi wa:
-
Scriptwriting & Concepts: Jinsi ya kutumia AI kupata mawazo ya video na kuandika scripts zinazofanya watu waangalie video mwanzo mwisho.
-
Text-to-Video: Jinsi ya kuandika maneno na AI ikatengeneza video halisi (mfano: gari linatembea, mtu anacheka) bila kushoot.
-
Image-to-Video: Jinsi ya kuchukua picha mnato (mfano picha ya bidhaa yako) na kuipa uhai na mwondoko (motion).
-
AI Avatars & Voiceovers: Kutengeneza “watu” wa AI wanaoongea kwa sauti na lugha yoyote (ikiwemo Kiswahili) kwa ajili ya kuelezea bidhaa au huduma.
-
Editing & Sound Design: Jinsi ya kuunganisha vipande vya video, kuweka muziki, na sauti (Sound Effects) ili video iwe na mvuto wa sinema.
-
Biashara ya Videography: Jinsi ya kutumia ujuzi huu kutengeneza pesa kwa kuwandalia wafanyabiashara matangazo.
Course Content
1. MODULE I: Utangulizi
-
Artificial Intelligence ni nini
03:22 -
Basics za kuandika prompt
00:00 -
Prompt Formula
03:16 -
Tools za AI
02:45 -
CHatGPT Settings
03:56 -
Tofauti ya AI video vs Traditional video
04:20 -
Video Production Workflow
04:55
2. MODULE II: Idea & Scriptwriting
3. MODULE III: Cinematography Basics
4. MODULE IV: Image Generation
5. MODULE V: Brand Contents
6. MODULE VI: Video & Audio Generation
7. MODULE VII: Video za Matangazo
8. MODULE VIII: Short Film Making
9. MODULE IX: Bonus
Pata Cheti
Ongeza cheti hiki kwenye CV/Portfolio yako ili kuonyesha ujuzi wako na kuongeza nafasi yako ya kutambulika