Design Simple 3D Mockup kwa kutumia Adobe Dimension
About Course
Adobe Dimension ni programu ya Design na rendering 3D. Adobe Dimension hurahisisha sana kuunda ama kujenga brand visualizations, illustrations, product mockups, na kazi nyingine za kibunifu.
Design Simple 3D Mockup kwa kutumia Adobe Dimension ni mafunzo kwa lugha ya kiswahili ambapo utajifunza kuitumia programu hii kutengeneza au ku design Vitu vifuatavyo 3Ds Mockups Photo-realistic 3D images Pia itakuwezesha kujifunza mbinu mbali mbali za Product visualization
Course Content
01: BASICS
-
Ifahamu Adobe Dimention
03:33 -
Jinsi ya Ku Import 3D Models
01:16 -
Jinsi ya kuweka lebal juu ya Model yako
05:40 -
Jinsi ya ku adjust Material
05:59 -
Jinsi ya Kudesign Background
05:22 -
Jinsi ya kuweka Picha ya Bacground
03:28 -
Jinsi ya kuweka Blur Effects kama ya camera
03:48 -
Mambo ya kuzingatia kuhusu light
02:27 -
Rendering
06:18 -
Post Production ndani ya Adobe Photoshop
03:32
02: BONUS
03: PERSONAL PROJECT
Pata Cheti
Ongeza cheti hiki kwenye CV/Portfolio yako ili kuonyesha ujuzi wako na kuongeza nafasi yako ya kutambulika
Student Ratings & Reviews
Kozi iko vzri sana nimeielewa vitu vingi sana katika hii kozi Kwa ujumla. Na niaamini kupitia shulee nitafanya vitu vzri na vyenye kuvitia Kwa muonekano mzr
Kozi iko vizuri sana , kwa masuala ya ku Design 3D Mockup
Kwakweli Nina Kila sababu ya kukupa pongezi saana, na sijutii kufuatilia masomo Yako umenitoa gizani Nimenza kufuatilia tangu 2020 Masomo Yako yapo vizuri Kwa mtililiki mzuri saana 🙏
Safi Santa