Professional Video Editing kwa kutumia Adobe Premiere Pro
About Course
Kozi hii imelenga kuwajengea ujuzi na maarifa wanafunzi wanaotaka kuwa wahariri(Editors) wa video na wataalamu katika matumizi ya Adobe Premiere Pro. Kutoka basics hadi advanced levels, washiriki watapata uelewa wa kina kuhusu programu hii ya uhariri wa video ambayo ni kiwango cha industry hii.
Kupitia moduli za Modules zilizopo, wanafunzi watapata ufahamu mzuri wa Muundo na mpangilio wa Premiere Pro, Tools, na Effects. Utajifunza jinsi ya Kuingiza na ku manage videos clips ama footage, kutumia mbinu za uhariri za basics na advanced, kuboresha ubora wa video na sauti, kutumia effects na transformation, titles, subtitle, transcripts, shapes nk.
Utajifunza advanced techniques kama vile uhariri wa kamera nyingi, upangaji wa muda, Color corect na Color Grading, na Audio Editing. Utapata fursa ya kutumia Project files kufanya mazoezi, kupewa masahihisho na ushauri kutoka kwa mwalimu ili upate kujiamini na kuboresha ufahamu wako.
Baada ya kumaliza kozi hii ya mafunzo mtandaoni, washiriki watakuwa na ujuzi wa kutosha wa kuhariri video za kiwango cha kitaalamu, iwe ni kwa ajili ya Film, Music Videos, Documentary, Commercial Ads, YouTube Videos nk.
Course Content
01: INTRODUCTION
-
Adobe Premiere Pro Interface
15:26 -
Create New Project
14:42 -
Sequence na settings zake
09:29 -
Create Proxies
09:26 -
Effects Control
06:04
02: BASIC EDITING
03: COLOR NA LIGHTS ADJUSTMENT
04: ADVANCED EDITING
05: EFFECTS & GRAPHICS CONTROL
06: ADVANCED FEATURES
07 FOR CONTENT CREATORS
08: SETTINGS & OPTIMIZATION
Pata Cheti
Ongeza cheti hiki kwenye CV/Portfolio yako ili kuonyesha ujuzi wako na kuongeza nafasi yako ya kutambulika