Professional Video Editing kwa kutumia Adobe Premiere Pro

Kozi hii  imelenga kuwajengea ujuzi na maarifa wanafunzi wanaotaka kuwa wahariri(Editors) wa video na wataalamu katika matumizi ya Adobe Premiere Pro. Kutoka basics hadi advanced levels, washiriki watapata uelewa wa kina kuhusu programu hii ya uhariri wa video ambayo ni kiwango cha industry hii. Kupitia moduli za Modules zilizopo, wanafunzi watapata ufahamu mzuri wa Muundo […]

Professional Video Editing kwa kutumia Adobe Premiere Pro Read More »