Adobe

Adobe InDesign kutoka Beginner hadi Advanced

Ifahamu Adobe InDesign ili uweze ku design interactive files na documents kitaalamu zaidi Ikiwa unatazamia kupata muonekano wa ki proffesional, Adobe InDesign ndiyo programu inayoshauriwa kujifunza. Inatambulika kama industry standard katika ku design documents za Online (Interactive files) na Print-ready, programu hii hukuruhusu kupanga, kudesign, na ku edit files mbali mbali. Unaweza uka design Vitabu, […]

Adobe InDesign kutoka Beginner hadi Advanced Read More »

Professional Video Editing kwa kutumia Adobe Premiere Pro

Kozi hii  imelenga kuwajengea ujuzi na maarifa wanafunzi wanaotaka kuwa wahariri(Editors) wa video na wataalamu katika matumizi ya Adobe Premiere Pro. Kutoka basics hadi advanced levels, washiriki watapata uelewa wa kina kuhusu programu hii ya uhariri wa video ambayo ni kiwango cha industry hii. Kupitia moduli za Modules zilizopo, wanafunzi watapata ufahamu mzuri wa Muundo

Professional Video Editing kwa kutumia Adobe Premiere Pro Read More »

Misingi na Sheria za Design Bora – Adobe Illustrator Course

Mafunzo ya Adobe Illustrator Toleo la pili Haya ni mafunzo ya Adobe Illustartor ambayo ni muendelezo wa toleo la kwanza, Toleo hili limeelezea mambo mapya ambayo Ukiwa kama designer unaetumia Adobe Illustrator Unatakiwa uyafahamu. Kozi hii ime sheheni video nyingi ambazo zimeakisi Katika Maada zifuatazo 1. Introduction 2. Types of Logos 3. Logo Design techniques

Misingi na Sheria za Design Bora – Adobe Illustrator Course Read More »

Shopping Cart