Motion Graphics Essential Course Bundle

Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media
SAVE
Sh65000

About Bundle

Motion Graphics Essential Course Bundle ni mnumuisho wa kozi za Adobe After Effects na Adobe Premiere Pro kwa pamoja kukufundisha jinsi ya ku edit videos pamoja na kuzifanyia motion Motion graphics

Kuhusu Premiere Pro.

Kozi hii  imelenga kuwajengea ujuzi na maarifa wanafunzi wanaotaka kuwa wahariri(Editors) wa video na wataalamu katika matumizi ya Adobe Premiere Pro. Kutoka basics hadi advanced levels, washiriki watapata uelewa wa kina kuhusu programu hii ya uhariri wa video ambayo ni kiwango cha industry hii.

Kupitia moduli za Modules zilizopo, wanafunzi watapata ufahamu mzuri wa Muundo na mpangilio wa Premiere Pro, Tools, na Effects. Utajifunza jinsi ya Kuingiza na ku manage videos clips ama footage, kutumia mbinu za uhariri za basics na advanced, kuboresha ubora wa video na sauti, kutumia effects na transformation, titles, subtitle, transcripts, shapes nk.

Utajifunza advanced techniques kama vile uhariri wa kamera nyingi, upangaji wa muda, Color corect na Color Grading,  na Audio Editing. Utapata fursa ya kutumia Project files kufanya mazoezi, kupewa masahihisho na ushauri kutoka kwa mwalimu ili upate kujiamini na kuboresha ufahamu wako.

Baada ya kumaliza kozi hii ya mafunzo mtandaoni, washiriki watakuwa na ujuzi wa kutosha wa kuhariri video za kiwango cha kitaalamu, iwe ni kwa ajili ya Film, Music Videos, Documentary, Commercial Ads, YouTube Videos nk.

Kuhusu Adobe After Effects.

Adobe After effects ni Software yenye nguvu sana katika kutengenezea Motion Graphics. Kampuni na Motion designers hupenda kuitumia kutokana na kuwa na tools zinazompa mtu uhuru kuwa mbunifu. Changamoto huwa ni pale usipojua tools jinsi zinavyofanya kazi. Ndiyo maana nakukaribisha ujifunze Nami Adobe After effects ( Hii ni Advanced) kozi. 

Mwisho kabisa tutafanya real-life Projects kwa pamoja. Pia kuna Mazoezi (Assignment) kila baada ya topic, na kila mwanafunzi atafanya na kusaidiwa atakapo kwama. Hutojifunza peke yako kwani baada ya kununua utaungwa katika Private Group Online ambapo wewe na wanafunzi wenzio mtakuwa mkishauriana na kupewa muongozo kila siku.

Show More

What Will You Learn?

  • Video Editing
  • Motion Graphics
  • Content Creation
Shopping Cart