Mockup and Template Design Course Bundle

Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media
SAVE
50%

About Bundle

Jifunze mbinu mbali mbali za kudesign graphics assert na template na jinsi ya kuziuza mtandaoni.

Kupitia Bundle hii utajifunza hatua kwa hatua kuanzia kufungua account za majukwaa ya kuuzia template , setup account yako mpaka namna ya kuandaa na kutengeneza contents

Course 01

Katika darasa hili utajifunza hatua kwa hatua Jinsi ya kudesign templates kama stock images, AI na PSD Mockups na kuziuza mtandaoni mwanzo mpaka mwisho.

tutajifunza kwanza kabisa kufungua account ya freepik, na baada ya hapo nitakufafanulia njia mbali mbali za ku design templates hasa Mockups. Pia Utajifunza mchakato wangu ninaopitia za ku edit stock image, Ai Templates na ku design mockups mwanzo mpaka mwisho yaani kuanzia kutafuta ideas za ku design mockups, mpaka hatua ya mwisho unapo upload files za mockup kama mimi ninavyofanya. Kwa hio hizi mbinu unazoweza zitumia hata katika platforms nyingine.

 

Course 02:

Fungua nguvu ya Akili Bandia (AI) katika upigaji picha kwa kozi yetu kamili ya kumudu Leonardo AI. Kozi hii imeundwa kwa ajili ya wanaoanza na wapenzi wanaotaka kuchunguza ulimwengu wa ubunifu wa picha zinazozalishwa na AI. Kupitia kozi hii utapata uelewa mzuri wa nini maana ya Akili Bandia (AI), matumizi yake, na faida zake katika creative industry. Utajifunza jinsi ya kutumia Jukwaa la Leonardo AI kuweza kutengeneiza picha za AI zenye muonekano halisia. Mbinu mbali mbali ma Models za kuzalisha picha zilizopo ndani ya jukwaa hili.

Pia tutajifunza namna gani tunaweza kujiingizia kipato kwa kuuza AI contents ikiwemo picha na Prompt ambazo zitatuungizia kipato na pia kutumiwa na watu wengine

 

Ifikapo mwisho wa kozi hii, utakuwa na ustadi wa kutumia Leonardo AI kuunda picha halisi na utaweza kupata mapato kwa yaliyomo ya AI kwa ufanisi. Jiunge nasi na chukua hatua ya kwanza kuelekea kuwa kiongozi katika ulimwengu wa kuvutia wa picha za AI!

Show More

What Will You Learn?

  • Kufungua Account Freepik
  • Kufungua Account Payoneer
  • Ku design Templates za AI na PSD
  • Ku upload na kuuza template
  • Introduction to AI
  • Creating Realistic Photographs with Leonardo AI
  • Monetizing Your AI Creations
Shopping Cart