Mafunzo ya FL Studio na Utengenezaji wa Beats
About Course
Jifunze kutumia mojawapo ya programu yenye nguvu na nyingi katika tasnia ya utengenezaji wa muziki ukitumia Computer.
Katika kozi hii ya FL Studio na Utengenezaji wa Midundo (Beats), utajifunza jinsi ya kutumia programu ya Ableton Live kwa uundaji wa muziki na, kwa ujuzi wa kimsingi, utaweza kurekodi mawazo yako ya muziki na kufikia matokeo ya kitaaluma.
Ukiwa na mtayarishaji wa muziki Richstar kama mwongozo wako, utaanza mfululizo huu wa kozi kujua muonekano wa fl studio na matumizi yake, jinsi ya kuingiza plugin na sampuli (Samples), Hatua kwa hatua jinsi ya kuanzisha project mpya.
Pia utajifunza kuchunguza ulimwengu wa ala(Instruments) kama vile Paino Roll na kibodi(Keyboard), Jinsi ya kutumia Step sequencer katika kupiga percutions kama kick, Snares, Claps Hi hat n.k. Pia utajifunza quantization ni nini na jinsi ya kuitumia. Kisha utaweka kila kitu katika vitendo kwa kuunda project yako ya kwanza.
Mwisho kabisa utajifunza kuunganisha mbinu zote kutengeneza aina tofauti tofauti za muziki kama vile Zouk, Bongo fleva, Hiphop, Reggae bila kusahau kipengele cha Mixing na Mastering ya mdundo wako (Instrumental). Kinachojitajika ni kuwa na Computer (Desktop/Laptop), Programu ya Fl Studio na akili yenye utayari.
Course Content
01: BASICS
-
Yanayohusu Mafunzo haya
02:40 -
Jinsi ya kutumbukiza, install Sample
02:48 -
Jinsi ya Ku Install Plugin
04:44 -
Kutatua tatizo la Plugin kutoonekana
01:44 -
Jinsi ya Kuzi link sample
02:14 -
Sehemu muhimu za FL Studio
05:06 -
Project setting
03:38 -
Temple Setting
03:48 -
Jinsi ya Kutumia SPEP Sequencer.
07:50 -
Jinsi ya kutumia Mentronome
04:38 -
Jinsi ya kupanga Percausion za Zouck
09:37 -
Jinsi ya kupanga Percausion za RnB
06:32 -
Jinsi ya kupanga Percausion za Hiphop Jazz
03:40 -
Jinsi ya kupanga Percausion za HiphopTrap na Crank
08:06 -
Jinsi ya kupanga Percausion za Reggae
06:05 -
Jinsi ya kupanga Percausion za Afro Pop
05:40 -
Maana ya Key, chords na Octave
06:06 -
Chord Kuu nne Muhimu na zinavyopangwa
04:07 -
Chord Progretional
05:06 -
Chords Mixing
03:14 -
insi ya Kuzivunja Sheria za Chords Kupata matokeo mazuri zaidi
08:34 -
Kupanga chords kutokana na Melody leads
07:30 -
Kupata Chords Kutoka katika Solo Melody
07:26 -
Minor Chord na Transpose
07:48 -
Ku transopse ndani ya Keyboard
02:51 -
Namna ya kuzijaza Chords
04:45 -
Kuzifanya Chords zilie bila kutoa kelele
05:01 -
Kuzifanya Solo Melody zilie vizuri
10:15 -
Chords Leads za Miziki Tofauti tofauti
19:50 -
Hitimisho La chords
06:18 -
Fahamu fomula na mtiririko mzuri wa Beat
07:40 -
Jinsi Fomular na Mtiririko unavyotumika
20:56 -
Jinsi ya ku save na ku export
02:02 -
Njia ilio advance zaidi ya upigaji Percausion
15:49 -
Fahamu aina za Plugin
04:49 -
Jinsi ya Ku record NOTE na Score
08:44 -
Ifahamu piano roll editor
09:04 -
Vifahamu vipengele vya Playlist
05:20 -
Automation ni nini
04:47 -
Jinsi ya kutengeneza Automation ndani ya Playlist
11:44