Mafunzo ya Autodesk 3DS Max – Essential 3D Graphics
About Course
Kuongeza ujuzi wa 3D katika kazi zako za Graphics huwa sio jambo rahisi. Ndiyo sababu nimekuletea Tutorials zitakazokufunza na kukuonyesha nguvu iliopo katika 3ds max tunapofanya kazi za 3D, iwe vizual ama motion design. Uwe beginner ama unayefahamu ila unataka kuongeza ujuzi basi hii ni sahihi kwako. Kozi hii iliojitosheleza itakufundisha kila kitu unachopaswa kufahamu ili uwe mjuzi katika 3D.
Course Content
UTANGULIZI
-
Utangulizi katika 3DS Max
20:00 -
Ku Create Standard Object
20:10 -
Selection, Layer na Groups
12:24 -
Move, Scale, Rotate
08:09 -
Clone, Mirroring na Snap Objects
09:47 -
Lights na Camera
04:11