5.00
(2 Ratings)

Hatua 7 za Logo Design – Kutoka wazo mpaka uwasilishaji

Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

About Course

Logo design ni ujuzi muhimu sana Graphics designer kuwa nao. Changamoto kubwa ni kujua tools, na njia sahihi za kuhakikisha una design logo(nembo) ya kipekee pasipo kusahau ubora na urahisi katika kutambulika na kukumbukwa. Jiunge  katika kozi hizi zitakazo kufundisha  Hatua 7 za Logo Design.

Kozi hii itakusaidia kuvunja imani potofu kuhusu Logo Design  na itakusaidia kuinua kazi yako na kukuza Portfolio yako. Kupitia process (mchakato) iliofundishwa utakuwa na ofanisi na kukupa kujiamini kuwa wewe ni logo designer

Kufikia mwisho wa kozi hii, hautakuwa tu kuwa mbunifu bora zaidi lakini pia mtu anayezingatia zaidi kutumia program(tools) sahihi, chakato sahihi na kuwajali wateja wake. Vitu utakavyojifunza ni

  • Jinsi ya ku negotiate na kuzungumza na mteja
  • Kukusanya taarifa za Design
  • Kufanya Utafiti wa Design
  • Sketching
  • Design
  • Jinsi ya Ku jaji na kuchagua Design sahihi
  • Kupanga, kuandaa na ku design Logo Presentation
  • Jinsi ya Kufanya Presentation
  • Jinsi ya kufanyia kazi na kupambana na Negative Feedbacks
  • Design Brand Identity Guidelines
  • Jinsi ya kupanga Price (Bei) ya huduma zako za Design
  • Na mengine mengi
Show More

What Will You Learn?

  • Introduction
  • Client Discovery
  • Research
  • Brainstorm
  • Sketch
  • Design
  • Presentation
  • Delivery
  • Bonus

Course Content

INTRODUCTIONS

  • Hatua 7 za Logo Design
    06:27
  • Pricing the Logo
    16:10
  • Bei yako iko juu sana
    07:50

DISCOVER

RESEARCH

BRAINSTOM

SKETCH

DESIGN

PRESENTATION

DELIVERY

BONUS

Student Ratings & Reviews

5.0
Total 1 Rating
5
2 Ratings
4
0 Rating
3
0 Rating
2
0 Rating
1
0 Rating
2 years ago
Sed ut perspiciatis unde omnis iste natus error sit voluptatem accusantium doloremque laudantium, totam rem aperiam, eaque ipsa quae ab illo inventore veritatis et.
Shopping Cart

Want to receive push notifications for all major on-site activities?