PHOTOSHOP MASTERY COURSE: Kutoka kuwa beginner hadi Pro
“Nimekuwa mwanafunzi wake tangu 2017, Mengi nimejifunza kupitia mtandaoni na kufanikiwa katika carrier yangu pasipo kukutana nae"
“Sio kozi tu lakini hata ufundishaji unakufanya kuelewe kwa urahisi Richard unajua sana kufundisha, Mungu akulinde sana , umeniinua sana"
Hii kozi ina thamani 10x zaidi ya bei iliyowekwa. Ni kozi nzuri sana kila kitu kimefundishwa kwa undani zaidi, nimejifunza mengi *
Kuna madini ya kibabe sana kwenye hii course, nilidhani najua Photoshop kumbe kuna mengi nilikuwa nabahatisha, noma sana *
Photoshop Mastery ni kozi itakayokufundisha na kukupa mwanga namna photoshop inapaswa kutumika katika Graphics design.Â
Haya ni zaidi ya mafunzo ya kawaida, ni sawa na njia ambayo tunakushika kwa mkono na kukuongoza na kukufundisha ujuzi wa Kutumia Photoshop. Mwishoni mwa kozi, utaweza kusonga na kutekeleza ideas zako kwa uhuru na ubunifu kamili.
Ukitofautisha na kozi nyingine ama tutorials za Youtube, kozi hii imeandaliwa na kufundishwa katika dhima na njia zitakazokufanya ujiamini na ujisimamie kwa kutumia mbinu zote zilizofundishwa na wataalam wetu.
Â
Kozi hii video zake zimepangiliwa katika mfumo rahisi wa mwanafunzi kufuatisha hatua kwa hatua
Kozi hii imeandaliwa kwa ufanisi kuhakikisha kila dakika unayoitazama ina kuongezea kitu akilini
Mwanafunzi anapata nafasi ya kufanya mazoezi kwa kutumia File za mazoezi zilizopo, kujibu maswali nk.
Shuka chini zaidi kufahamu vitu utakavyovipataÂ
Module hii inafundisha misingi ya Photoshop. Jua jinsi ya kuanza na kujifunza kwa usahihi.
Katika moduli hii utajifunza jinsi ya kutumia tools zote za Photoshop.Pen, Brush, Crop na mengi zaidi!
Utaelewa jinsi ya kutumia rangi, upangiliaji wa rangi hadi urekebishaji wa rangi pamoja na mwanga
Katika sehemu hii, utajifunza mbinu na vidokezo vya Photo retoching, kama Professional.
Katika sehemu hii, utajifunza mbinu na vidokezo vya kudesign Posters na matangazo mbali mbali
Tutajifunza jinsi ya kubadirisha picha za Black na White kuwa katika muonekano wa full colored
Katika module hii, tutachanganya mbinu mbalimbali tulizojifunza kupata design bora zaidi zenye kuvutia
Module hii ni mahususi kujifunza mambo machache nje ya design yanayohusiana na Adobe Photoshop
Explain it in a couple lines.
Kujifunza kupitia kozi hii ni rahisi kwa sababu tunakupa zaidi
Videos zaidi ya 60 za mafunzo ya kozi hii na nyinginezo kuongezwa kaila baada ya muda fulani katika modules zote 8
Jumla ya masaa ya videos za kozi. Lengo ni kuhakikisha unapata elimu yenye maelezo na ufafanuzi kwa kina
Tofauti na wengine, kozi yetu ina uhakikia wa matokeo chanya kwa sababu tunafundisha vitu tunvyovifanya
File zote za mazoezi kama Picha, Icons Fonts nk zimejumuishwa katika kozi hii kukuhakikishia unajifunza vyema
Template zote za PSD, PSB zimejumuishwa ili iwe sehemu ya mafunzo yako kwa vitendo na si maneno
Ukisha nunua kozi hii, Utapata lifetime access ya contents zote. Ni wewe tu kuamua kujifunza kwa mda wako
Kozi hii inakupa matokeo chanya kama inavyothibishwa na wanafunzi wetu hapa
Platform ya kipekee
Ukijiunga na kozi ya Photoshop Mastery, Utaunganishwa na jukwaa lenye kila kitu kinachohusu kozi hii. Na utapata fursa ya ku download materials tunayoyatumia katika designÂ
Pia jukwaa letu ni rahisi kutumika na kila mwanafunzi. Mtumiaji anaweza kutumia Computer/Laptop, Tablet ama smartphone wakati wa kufuatilia masomo yetu, hii ni popote ulipo, kwa wakati wowote ulipo.
Tupo, kwa msaada zaidi
Mda wote tupo tayari kuhakikisha safari yako ya kujifunza inakuwa isio na vikwazo vya lazima. Jukwaa letu lina LIVE CHAT support na wahusika wako tayari kukujibu na kukupatia ufafanuzi kuhusu Kozi hii ya Photoshop Mastery.
Pia tuna community katika Whatsapp na facebook ambapo unaruhusiwa kuuuliza swali, wanafunzi waliokutangulia ama team yetu itakupa ufafanuzi na kuelewa zaidi. Tunaamini hili litasaidia kuchochea kasi ya kujifunza
Cinematic Quality
Photoshop Mastery course inatoa funzo kwa kila dakika. Videos zake zina ubora wa hali ya juu wa picha na sauti.Â
Videos zitakuhamasisha, kuku engage na kukuchangamsha. Siku zote kama somo fulani linakukera basi huwezi kujifunza.
Certificate of Completion
Baada ya kumaliza masomo yote na mazoezi yote Utapata cheti (Digital Certificate) cha kuonyesha umemaliza kusoma kozi ya Photoshop Mastery. Cheti hiki utaweza kukipakua.
Vyeti vyetu vina na upekee unawesha ukashea kwa mtu mwingine. Na vina namba ya uthibitisho binafsi kutoka kwetu
Kuna tutorials nyingi za FREE mtandaoni hasa YouTube ila changamoto yake ni
Huu ni ukweli usiopingika, Kuna tutorials nyingi sana za BURE mtandaoni Ila hazijapangiliwa hatua kwa hatua,
Ni ngumu sana kwa sasa kupata FREE tutorial zenye thamani. Tutorial nyingi zinawekwa kuzalisha views tu
Kujifunza kwa videos tutorials jambo zuri ila Kozi za YouTube mwanafunzi hawezi kupewa zoezi na kusimamiwa
Tunaiamini thamani iliyomo ndani ya kozi hii: Kupitia sera yetu ya 7-day money-back guarantee, Huitaji kuwana na hofu tunakuaminisha kwa 100% kama hutoridhishwa na kozi hii una haki ya kuomba kurudishiwa pesa yako ndani ya siku saba, cha kufanya tuandikie email, bila kuchelewesha tutalifanyia kazi na kurudishiwa kila kitu
By visiting this page, you agree to the terms and conditions, privacy policy & earnings disclaimer. This site is not a part of the Facebook website or Facebook Inc. Additionally, This site is NOT endorsed by Facebook in any way. FACEBOOK is a trademark of FACEBOOK, Inc.